Latest News

Wednesday, April 20, 2016

Juve wavutiwa na Kante...!


Juve wavutiwa na kiungo  wa Leicester N'Golo Kante. ni baada ya kuwa kwenye kiwango cha juu sana msimu huu kiungo huyo mwenye uwezo wa pekee amewavutia wababe hao wa ITALIA . pia kiungo huyu anafuatiliwa kwa karibu na klabu za ARSENAL pamoja na TOTTENHAM zote za ligi kuu uingereza.(Gazzetta dello Sport.)

No comments:

Post a Comment