Latest News

Wednesday, April 20, 2016

Malaika anshangazwa na ukubwa wa Rarua rarua, mpango wa video jeee!!!?


Malaika ambaye alishatamba na kibao cha Sare sare amesema anamshukuru Mungu kuona wimbo wake mpya wa Rarua rarua unazidi kufanya vizuri na mwitikio umekua poa
kutoka kwa mashabiki wake.

Akipiga stori na Planet Bongo ya Ea radio, Malaika amesema kuwa amepata sapoti kubwa sana kutoka kwenye mitandao ya kijamii kwani watu wamekuwa wakimtumia meseji na kushare vitu kadhaa vya ngoma yake mara kwa mara.

Malaika anasema ana mpango wa kuachia video ambayo wiki ijayo itakua tayari na anaamini itakua poa kama ambavyo audio imekua na kupokelewa.


No comments:

Post a Comment