Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea hapa mkoani Iringa ambaye pia ni Dj na mtangazaji wa redio Ebony Fm ameachia audio ya wimbo wake mpya uitwao Nikilewa ambao amemshirikisha Shaa Producer akiwa ni Daxochalli.
Sikiliza na kudownload hapa chini:-
NEW MUSIC AUDIO: Nasi ft Shaa - Nikilewa
Reviewed by Unknown
on
5:06:00 AM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment