Leo ilikua ndio siku ya uzinduzi wa daraja la kigamboni jijini Dar es salaam na kubwa lililowavuti watu kutika kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. John Magufuli ni lile la kukataa
daraja la Kigamboni lisiitwe 'Daraja la Magufuli' na badala yake ameshauri lipewe jina la muasisi wa Taifa hili, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Tizama pichaz hapa:-
No comments:
Post a Comment