Latest News

Wednesday, June 1, 2016

Hiki ni kiasi ambacho wizara ya fedha na mipango imeomba kutengewa kwenye bajeti ijayo....

Kupitia bunge leoJune 01 2016 Wizara ya fedha na mipango imewasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Hotuba imesomwa na Waziri wakePhilip Mpango.
Waziri Mpango amesema…’Wizara ya fedha na mipango kwa mwaka 2016/2017 kupitia mafungu yote tisa ya bajeti inaomba kuidhinishiwa jumla ya shilingi 8,716,493,400,510 kwa ajili ya matumizi ya kawaida.’
Kwa upande wa fedha za maendeleo, Wizara ya fedha na mipango inaomba kuidhinishiwa jumla ya shilingi Trilion 9.5 (791,998,424,268).

No comments:

Post a Comment