Msanii wa Hip hop kutoka Tanzania ambaye ni miongoni mwa wasanii pendwa #Jaymoe ametuletea video ya wimbo wake wa Pesa ya madafu
.
.
Video imeongozwa na kampuni ya Kwetu studios. Mpe asilimia zake Jaymoe kwa maoni yako kuyaweka pale chini.
Reviewed by Unknown
on
5:06:00 PM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment