Latest News

Showing posts with label Bongofleva videos. Show all posts
Showing posts with label Bongofleva videos. Show all posts

Saturday, June 25, 2016

New Music Video: Mr Blue ft Alikiba - Mboga saba | Watch and Download free


Inawezekana unamkubali sana Mr.Blue, basi ameachia video ya wimbo wake mpya wa Mboga saba ambao amemshirikisha Alikiba.

Video imefanywa na kampuni ta Kwetu Studios, Enjoy.....

Monday, June 6, 2016

New music Video: Jay Moe - Pesa Ya Madafu ( Official music Video Watch and Download free )


Msanii wa Hip hop kutoka Tanzania ambaye ni miongoni mwa wasanii pendwa #Jaymoe ametuletea video ya wimbo wake wa Pesa ya madafu
Video imeongozwa na kampuni ya Kwetu studios. Mpe asilimia zake Jaymoe kwa maoni yako kuyaweka pale chini.

New music Video: AbduKiba - Bayoyo ( Official Music Video Watch and Download free )


#AbdulKiba ni mdogo wake wa damu wa msanii #Alikiba safari hii ni video ya wimbo wake wa Bayoyo ambapo video hii imeongozwa na
Hanscana.

Itizame na kuipakua hapo chini kisha uache maoni yako kuhusu video hii...


Thursday, June 2, 2016

New music Video: Rich Mavoko: Ibaki stori ( Official Video Watch and Download free )


Leo msanii #Richmavoko amesainiwa rasmi kwenye label ya wasafi ya WCB Inayoongozwa na Diamond Platnumz, hivyo anaungana na Rayvanny na Harmonize katika kuendelea kung'arisha label hiyo, sasa hii ni video aliyoiachia baada ya kusainishwa rasmi wasafi inaitwa Ibaki stori.

Itizame na kuipakua hapa chini......


Tuesday, May 31, 2016

New music Video: Makomando - Sasanuvo ( Official video Watch and Download free )

Makomando wameachia video yao mpya inayokwenda kwa jina la Sasanuvo, karibu kuitizama kisha uache maoni yako hapo
chini....

Friday, May 27, 2016

New music Video: Bill Nass Feat Barnaba - Demu Gani ( Watch and Download free )


Karibu kwa mara nyingine kutizama video mpya ya Bill Nas ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la Demu gani ambayo amemshirikisha Barnaba Classic.

Video hii haina taarifa rasmi kuhusu kuachiwa ila baada kupita huku na kule nimeweza kuibahatisha nikaona ni vema nikuletee uweze kuitizama kisha uache maoni yako.


Video imesimamiwa na kampuni ya LFLG na audio imefanywa na Mesen Selekta pale Defatality.

New music Video: Bill Nas - Chafu Pozi ( Official Video Watch and Download )


Karibu kutizama video mpya ya wimbo wa Bill Nas unaoitwa Chafu pozi ambao tayari audio yake imekamata nafasi za juu kwenye vituo mbali mbali vya redio.

Video imetayarishwa na kampuni ya  LFLG 

Itizame hapo chini na uache maoni yako.


Thursday, May 26, 2016

New music Video: Tox Star - Candle light ( Official Video Watch and Download )


Genious Geff ndo kaongoza video hii mpya ya Toxstar inayokwenda kwa jina la Candle light ambapo audio yake
ameifanya Bob Junior pale Sharobaro record.

Karibu kuitizama kisha uache maoni yako hapo chini.

DOWNLOAD MP4 HERE

Wednesday, May 25, 2016

New music Video: Real Jofu ft. Nay Wamitego - Unanionea ( Official Video Download )

New music Video: Mayunga feat Akon - Please Don't Go Away ( Official Video Download )

New music Video: G Nako Ft Chin Bees & Nikki Wa II - Arosto ( Official Music Video Download )

Tizama video mpya ya G Nako aliwashirikisha Chin Beez na Nikki wa pili inaitwa Arosto ambayo imeongozwa na
Hanscana na audio imefanywa na Lufa pale Switch Records.


New music Video: Kadjanito - One More Night ( Official Video Watch and Download )

New music Video: Alikiba - Aje ( Official Video Watch and Download )

Karibu kutizama video mpya ya msanii Alikiba inaitwa Aje ambayo amemshirikisha M.I. Video imeongozwa na phenomenal Director Meji chini ya uongozi
wa ROCKSTAR4000.

Karibu kuitizama na kudownload.



Kama bado Audio hukuwa nayo Download HAPA

Tuesday, May 24, 2016

New Music Video: Shilole Ft. Barnaba - Say My Name ( New Video )

NEW MUSIC VIDEO: Madee - MIGULU PANDE ( Video )

NEW MUSIC VIDEO: Ben pol - Moyo mashine ( Watch for free )

Friday, May 20, 2016

NEW MUSIC VIDEO: Shilole ft Barnaba - Say my name ( Watch Official Video )

Shilole a.k.a Shishi Baby kwa kushirikiana na Barnaba wanatualika kutazama video yao mpya ‘Say My Name’ na ukishaitazama uiache comment yako....

Friday, April 15, 2016

MUSIC VIDEO: RAYMOND - KWETU


MUSIC VIDEO: SALAMU TMK - MFUKO


Monday, April 4, 2016

GOOD MUSIC VIDEO: BARAKA - SIWEZI ( Watch and download for free )