Latest News

Thursday, June 2, 2016

New music Video: Rich Mavoko: Ibaki stori ( Official Video Watch and Download free )


Leo msanii #Richmavoko amesainiwa rasmi kwenye label ya wasafi ya WCB Inayoongozwa na Diamond Platnumz, hivyo anaungana na Rayvanny na Harmonize katika kuendelea kung'arisha label hiyo, sasa hii ni video aliyoiachia baada ya kusainishwa rasmi wasafi inaitwa Ibaki stori.

Itizame na kuipakua hapa chini......


No comments:

Post a Comment