Latest News

Monday, February 20, 2017

BREAKING NEWS: Mbowe mikononi mwa polisi tena!!!

Jana Jumatatu ya February 20 2017  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe alifika Polisi kwa mahojiano na alichukuliwa na Polisi kwenye msafara wa magari yasiyopungua matatu ambapo iliripotiwa baadae kwamba Polisi walikwenda kufanya upekuzi kwenye nyumba zake Kawe na Mikocheni kwa mujibu wa Afisa habari wa CHADEMA.
Msemaji huyo wa CHADEMA Tumaini Makene alithibitisha Polisi kupekua nyumba zake na kuandikisha maelezo ya majirani ambapo akasema kwenye mida ya saa sita usiku huu Polisi wamemrudisha Mbowe kwenye kituo cha Polisi kati na wamemfungulia jalada la Uchunguzi.

Endelea kuwa jirani na mi kwa habari zaidi....

No comments:

Post a Comment