Kupitia magazeti na tetesi za mitaani ilionekana kuwa Mbunge Ridhiwan Kikwete naye anajihusisha na masuala ya dawa za kulevya. Mbunge huyo wa Chalinze Ridhiwan Kikwete, ameamua kunyamazisha tetesi hizo kwa kuzijibu kupitia ukurasa wake wa Instagram.
POSTED: Ni maneno ya watu wasionitakia mema, sina la kuficha… sifanyi biashara hiyo haramu na wala sijawahi kufikiria kufanya…… ni bora kufa maskini kuliko kutafuta utajiri kwa njia hiyo.
No comments:
Post a Comment