Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Musukuma amesema hawezi kumsifia hata kidogo Prof. Jumanne Maghembe, Waziri wa Maliasili na Utalii kwani yeye na watu wake wa Wizara wanafanya mambo ya ajabu hasa kwa watu wa Kanda ya Ziwa.
Musukuma anasema watu wa Wizara ya Maliasili wamekuwa wakiuza ng’ombe za watu jamii ya wasukuma na kuzipiga mnada kwa dili kwa lengo la kujinufaisha wenyewe, hivyo mbunge huyo amesema wasukuma wameamua kuwa wataziroga ng’ombe zote ili wanaokula ngo’mbe hizo Dar es Salaam wavimbe matumbo.
Msikilize Msukuma Hapa Chini.

No comments:
Post a Comment