Latest News

Thursday, May 25, 2017

AUDIO: Wachimbaji Wengine Wafariki Dunia Kwenye Mgodi Mwanza


Wachimbaji wadogo wanne wamekufa baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo madogo ya nyamalimbe yaliyopo wilayani Geita mkoani Mwanza.
Watu saba walifukiwa ambapo kati yao watatu wameokolewa na wamelazwa katika Kituo cha Afya Katoro.
Tukio hilo limetokea  saa mbili asubuhi. Mkuu wa Wilaya ya Geita Herman Kapufi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

No comments:

Post a Comment