Latest News

Saturday, June 17, 2017

Mrema Awaonya Wanomchokonoa Rais Magufuli, Asema Tuunge Mkono Jitihada Zake


Mwenyekiti wa Chama cha TLP na bodi ya Parole Augustine Lyatonga Mrema amezungumzia ishu ya mchanga wa madini ambapo amewaonya wanasiasa mbalimbali wakiwemo wabunge kutowahusisha marais waliopita kwenye ishu ya mchanga wa madini huku akisema wanatakiwa wamuunge mkono Rais Magufuli katika jitihada za kuwabaini wahusika mbalimbali na kuweza kumaliza tatizo lililopo kwenye sekta ya madini nchini.

Tizama hapa chini.

No comments:

Post a Comment