Jamaa ni mwenyeji wa mkoa wa Mwanza lakini kwa sasa yupo mkoani Iringa na ndipo kazi zake za kimuziki zinakofanyikia.
Sikiliza wimbo wake huu mpya unaokwenda kwa jina la Nakukumbuka ikiwa Prodyuza ni Ada B, Kutoka mkoani Iringa.
Reviewed by Admin
on
8:08:00 PM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment