Kutoka mkoani Iringa ingawa kwa sasa kazi zake zinafanyikia Dar Es Salaam, anaitwa Sampamba, huyu ni prodyuza na mwimbaji, safari hii ametulea wimbo wake mpya wa dini unaitwa Usiniharibie Siku.
Prodyuza ni yeye mwenyewe katika studio za Sampamba Music.
No comments:
Post a Comment