Latest News

Friday, June 2, 2017

New Video: Eazzy Ft. Mr Eazi – Forever | Watch and Download

Wimbo huu wa Forever ni wimbo uliopo kwenye orodha ya ngoma zinazochezwa sana kwenye vituo vya redio barani Afrika, sasa mwanadada Eazzy akaona sio mbaya kufanya video ambayo ndani yake ameshirikishwa Mkali wa Dance For Me anaitwa Mr Eazy.

Video imeongozwa na Lex McCarthy

Tizama na kupakua kisha uache maoni yako pale chini...

No comments:

Post a Comment