Latest News

Friday, June 2, 2017

AUDIO: Mnyika Aweka Wazi Makubwa Yake Baada Ya Kutolewa Nje Ya Bunge


Baada ya Mbunge wa jimbo la Kibamba kwa tiketi ya CHADEMA, John Mnyika kutolewa Bungeni jana baada ya kuomba kumfahamu aliyemwita mwizi, kipindi cha Xxl cha Clouds Fm kiliweza kuzungumza naye kwa njia ya simu kuhusu tukio hilo.

Kati ya aliyoyazungumza Mnyika ni pamoja na kusema kuwa spika hana mamlaka ya kuamrisha polisi kufanya maamuzi aliyoyafanya hivyo akasema anafikiria cha kufanya.

Sikiliza hapa chini.

No comments:

Post a Comment