Bunge lilileta hali ya sintofahamu ambapo Wabunge wa Upinzani waliamua kutoka nje ya Bunge kupinga kitendo cha Spika Job Ndugai kumtoa Mbunge wa Kibamba John Mnyika.
Baada ya wabunge wa upinzani kutoka nje walizungumza na waandishi wa habari mambo mbalimbali kuhusu Mnyika kutolewa na msimamo wao wa kutotaka kurudi Bungeni.
Sikiliza hapa chini.....

No comments:
Post a Comment