Latest News

Friday, June 2, 2017

VIDEO: Kessy Ataka Kushika Mshahara Wa Muhongo, Amtupia Mawe Mwijage


Mbunge wa jimbo la Nkasi Kaskazini Ally Keissy amependekeza kunyongwa hadi kufa, kwa wale wote watakaobainika kuwa walihusika kusaini mikataba mibovu ya madini na kulisababishia hasara kubwa taifa.

Kessy ameyasema hayo wakati Bunge lilipokaa kama kamati ya matumizi, na kufuatia hali hiyo, akatangaza kushika mshahara, wa waziri wa nishati na madini.

Tizama video hii...........

No comments:

Post a Comment