Latest News

Saturday, June 3, 2017

Mkuu Mpya Wa Mkoa Wa Kilimanjaro Aliyeteuliwa Na Rais Magufuli Ni Huyu!


Rais John Magufuli amemteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Ikulu leo Jumamosi imesema kuwa Mgwira amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Saidi Meck Sadiki.
Katika taarifa hiyo Rais Magufuli pia amewateua Meja Jenerali Issah Suleiman  na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi(DIGP), Abdlrahman Kaniki kuwa mabalozi.

No comments:

Post a Comment