Latest News

Thursday, June 1, 2017

VIDEO: Mwijage Apata Mzuka Bungeni Kuhusu Ishu Ya Umeme


Wizara ya Nishati na madini leo imewasilisha Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/18 bungeni mjini Dodoma ikiliomba bunge liidhinisha kiasi cha shilingi bilioni 998. 3 ili iweze kutekeleza majukumu yake.

Mwijage amesema ili

kutimiza ndoto yake ya Tanzania ya viwanda, serikali itaendelea kutafuta umeme

wa uhakika, katika usafirishaji, uzalishaji na usambazaji.


Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini, Dotto Mashaka Biteko, akaishauri Serikali kuzifuta

leseni zinazokiuka sheria ya madini.


No comments:

Post a Comment